Mgomo wa wahadhiri teku ni udikteta

Mgomo wa wahadhiri teku ni udikteta

optimist

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2009
Posts
284
Reaction score
106
HABARI ZILIZOJIRI HIVI PUNDE kuwa wahadhiri katika chuo kikuu cha TEKU wameongoza mgomo baada ya kuendeshwa kidikteta na uongozi wa chuo hii imetokana na kufungwa chuo bila wataaluma wa chuo hicho kuhusishwa aidha pamoja na mambo mengine kumekuwepo pia na kitendo cha kulazimishwa wahadhiri hao kwenda kusali makanisani licha ya kuwa baadhi ya wahadhiri si waumini wa imani hiyo, hali hii inawaweka rehani watoto wa mkulima jamani wale wanaoomba vyuo ifike mahali tusikimbilie vyuo tu maana kuna hatari ya kupata chuo na mtu akaishia mitaani na sio kusoma tena aidha kwa hali hiyo tusubiri na mgomo wa wanachuo pia
ahsanteni
naomba kuwasilisha
 
hiki chuo mm nlikua na waswasi nacho toka kuanzishwa kwake ndo hata sikuchagua enzi zile tunafanya applications
 
Back
Top Bottom