GLORY B2 GOD
New Member
- Jun 29, 2012
- 1
- 0
Kama kweli Walimu mna uchungu na maisha yenu, chonde chonde msiahirishe MGOMO kama ilivyo kawaida yenu kuahirisha kwa sababu ya kutishiwa na wanaojidai kuwa wenye nchi.Waigeni madaktari hakika mtafanikiwa.Solidarity forever..........!!!
mgomo wa walimu upo palepale kaeni mkao wa kula, na liwalo na liwe ila walimu lazima tugome otherwise serikali ikubali madai yetu.
Ndo manake!!!!Ikifika tarehe 7, utasikia: WIALIMU WAMEGOMA KUGOMA.
Ikifika tarehe 7, utasikia: WIALIMU WAMEGOMA KUGOMA.
Ikifika tarehe 7, utasikia: WIALIMU WAMEGOMA KUGOMA.
Huku wakiikumbuka kauli ya
"LIWALO NA LIWE" Kiongozi wa mgomo get prepared plse, MSITU WA PANDE
unakusubiri. ha ha haaa
Kama kweli Walimu mna uchungu na maisha yenu, chonde chonde msiahirishe MGOMO kama ilivyo kawaida yenu kuahirisha kwa sababu ya kutishiwa na wanaojidai kuwa wenye nchi.Waigeni madaktari hakika mtafanikiwa.Solidarity forever..........!!!
Waoga sana hao.Kama kweli Walimu mna uchungu na maisha yenu, chonde chonde msiahirishe MGOMO kama ilivyo kawaida yenu kuahirisha kwa sababu ya kutishiwa na wanaojidai kuwa wenye nchi.Waigeni madaktari hakika mtafanikiwa.Solidarity forever..........!!!
Taja waalimu ni mafisi???????????? haya tunaish msitu gani na nani atulishaye mifupa? imeandikwa hivi mwanafunzi hakui kumzidi mwalimu wake mpaka na yeye amehitimu. so kama wewe ulikuwa mwanafunzi inamaana ulikuwa fisi ukafundishwa na fisi na sasa umehitimu hivyo umekua fisi kuliko fisi mwalim na kwa logic hii wewe ni fisi mkuu.Walimu ni mafisi hawawezi kugoma......