Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

King Innocent

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Posts
1,046
Reaction score
715
UDOM4.jpg

Licha ya jitihada zilizofanywa na naibu waziri wa afya na mkuu wa mkoa wa Dodoma kuwatuliza wanafunzi wa kitivo cha elimu wasigome na kwamba Serikali yao sikivu itafanya kila jitihada kuhakikisha wanapata fedha hizo kwa haraka, jitihada hizo hazijazaa matunda kwani wanafunzi walisisitiza wataendelea na mgomo wao mpaka pale watakapolipwa fedha zao sababu hawawezi kusoma wakiwa na njaa.

update
Police wamefanikiwa kuzima maandamano kwa kutumia maji ya kuwasha pamoja na mabomu ya kutoa machozi, wanafunzi wengi wameumia na wengine wakamatwa.
 
Habari nilizozipata ni kwamba kuna kila dalili za kutokea maandamano ya kuelekea bungeni na polisi wamemwangwa kila pande za chuo wakiwa tayari kutekeleza amri ya wakubwa zao.
 
Hapa sielewi kitu. Ni kwamba hao wanafunzi wamesaini boom ila pesa haijaingizwa kwenye accounts zao au bado hata hawajasaini?!?
 
Na gomeni tu..eeh maana hata huku udsm washapewa hamna tena namna
 
Mkuu sheria ya mkopo ipoje kwani ukiomba mkopo lazima upewe?[
Washapewa nini tena!
/QUOTE]
Mkuu Simiyu ina maana hujui Vyuoni kuna kula?
kuna pesa ya Madaftarikuna pesa ya Research?
kuna Boom la kawaida kwa matumizi?

kama wewe ni mzazi na hujapitia huko hujawahi kudaiwa pesa hata ya kuvunja 'apparatus' au 'Test-tube'
mm nina wadogo zangu wa Chio cha Ardhi Tabora wapo Field ni huvyo hivyo Serikali haiwajali kabisa mwaka huu inatazama Bunge na Uchaguzi
waache UDOM wagome huenda nao wakalipwa fedha za matumizi km wenzao waliogoma juzi wa UDSM
 
Hivi kwanini serikali inapenda vurugu? Juzi UDSM waligoma ndo wakaingiziwa pesa, sasa zilikuwa wapi kabla hawajagoma?
 
mm nilishasahau bumu.....teh teh laki 2 kwa mwezi....ndogo sana....hlf unaichelewesha???
 
Poleni sana wanazuoni wetu, huenda nanyi leo mkaingiziwa pesa zenu
 
narudia tena kama hujui lolote kuhusu pesa za kujikimu zinazotolewa kwa wanachuo usikurupuke na kucoment maana utajiaibisha tu
 
Back
Top Bottom