Mkuu sheria ya mkopo ipoje kwani ukiomba mkopo lazima upewe?[
/QUOTE]
Mkuu Simiyu ina maana hujui Vyuoni kuna kula?
kuna pesa ya Madaftarikuna pesa ya Research?
kuna Boom la kawaida kwa matumizi?
kama wewe ni mzazi na hujapitia huko hujawahi kudaiwa pesa hata ya kuvunja 'apparatus' au 'Test-tube'
mm nina wadogo zangu wa Chio cha Ardhi Tabora wapo Field ni huvyo hivyo Serikali haiwajali kabisa mwaka huu inatazama Bunge na Uchaguzi
waache UDOM wagome huenda nao wakalipwa fedha za matumizi km wenzao waliogoma juzi wa UDSM