Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

Ndo ubaya wa vyuo vya kata

Sasa hizi ndugu yang dharau hadi kwa udsm ina maana hadi ud siku hizi kimekua cha kata maana nao juzi waligoma ndio wakaingiziwa pesa zao. Tuacheni unafiki tuwe wakwel ktk mambo ya msingi.
 
polisi wanafanya doria kila kona wanapiga mabomu ya machozi na maji ya kuwasha huku wanachuo wakiwazomea
 
narudia tena kama hujui lolote kuhusu pesa za kujikimu zinazotolewa kwa wanachuo usikurupuke na kucoment maana utajiaibisha tu

Umenena tuliosoma kwa kutumia pesa za kujikimu tunayajua matatizo yaliyo ila naona wenhi wanajitoa ufahamu tu humu sio kama hawajui siasa wameweka mbele ktk mambo ya msingi.
 
ww unaedai eti UDOM cha kata umesoma lakini hamnazo kabisa thinking capacity yako ni ndogo sana la sivyo ulishawahi pelekwa milembe kwa kurukwa na akili.
 
ww unaedai eti UDOM cha kata umesoma lakini hamnazo kabisa thinking capacity yako ni ndogo sana la sivyo ulishawahi pelekwa milembe kwa kurukwa na akili.

yeah huyo jamaa yupo kwenye kundi la watu wakawaida na siyo great thinker
 
Hatimaye polisi imeweza kuwasambaratisha wanafunzi waliokuwa wanaandamana kwa kutumia maji ya kuwasha na mabomu ya machozi. Wanafunzi wachache wamejeruhiwa katika purukushanihzo huku wengine wakitiwa nguvuni.
 
Hii Serikali haya inayataka yenyewe.
Walemavu Jana wamelianzisha.
Wanafunzi nao wamelianzisha.

Acha sasa CCM wajichimbie kaburi wenyewe.
 
Kuna rafikiangu nilikuwa nampigia cm muda mwingi haipokei akaja nipigia yeye ananambia amejificha chooni ila uko nje ni balaa.
 
Unajuwa yanayowapata wanachuo Wa nchi hii na idara nyingine nyingi
Ni maana ya hawa ccm na serikali yao tote .
 

yaache yarindime
 
sasa hivi defender saba zinapiga doria maeneo ya chuo. hali ni tete asikwambiee mtu
 
IQ approaching to zero

Taifa hili linakazi ngumu sana kuhakikisha kwamba elimu ya uraia inaingia kichwani mpaka kwa watu wenye akili fupi kama yako, kudai haki yako kikatiba inahitaji GPA ya 4.7? Inasikitisha sana, wonderful enough Mungu kakushia neema kidogo kukutoa kijijini kwenu kukupeleka mjini afu leo wanaojihangaikia kwa ajili ya kesho yako unawaona Zero, shame on you
 
Udom ni kama Burundi
 

Attachments

  • 1432294466443.jpg
    111.4 KB · Views: 306
  • 1432294489118.jpg
    68 KB · Views: 273
Mkuu sheria ya mkopo ipoje kwani ukiomba mkopo lazima upewe?
hao waliogoma tayari walishapewa mara ya kwanza sasa hela ya pili imechelewa kuletwa kwa wakati, sasa ukijumlisha na ripoti ya cag ndio shida kabisa
 
Ndo ubaya wa vyuo vya kata

mmh!! Kwahiyo vyuo vyote vinavyogoma ni vya kata au? maana sijaona logic ya comment yako.. udsm juzi waligoma na arusha nako kuna chuo waligoma kwa hiyo vyote ni vya kata au? Jua mtu anapogoma anatafuta haki ndio maana kila kukicha kuna migomo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…