Kwanza natamani sana CBE Dar kingefutwa kabisa, kinatoa shahadi zilizo chini ya kiwango kabisa. Visistadu pale chuoni havisomo ni kubana mwili na kutembea nusu uchu, wakati wa mitihani wanalobi ili waipate. Utakua mtu ana A zaidi ya 80% kwenye vyeti ila ukimpiga interview ni mtupu sana.
Ukienda kupmba chuo kwaajili ya masomo zaidi wakiona ni CBE wanasema hebu weka pembeni kwanza. Ukiomba kazi kama ni CBE inawekwa pembeni. Kwa hiyo hiki chuo ukichunguza kwa undani unaweza kuta hata wenye zero ya form four wanasoma mle ndani. Kipigwe chini kabisa