Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Ni kiwango gani cha elimu inatolewa pale ni janga la kitaifa,yanayofanyika cbe yanafanyika na kwingine , Hutafuta vingapi sasaKwanza natamani sana CBE Dar kingefutwa kabisa, kinatoa shahadi zilizo chini ya kiwango kabisa. Visistadu pale chuoni havisomo ni kubana mwili na kutembea nusu uchu, wakati wa mitihani wanalobi ili waipate. Utakua mtu ana A zaidi ya 80% kwenye vyeti ila ukimpiga interview ni mtupu sana.
Ukienda kupmba chuo kwaajili ya masomo zaidi wakiona ni CBE wanasema hebu weka pembeni kwanza. Ukiomba kazi kama ni CBE inawekwa pembeni. Kwa hiyo hiki chuo ukichunguza kwa undani unaweza kuta hata wenye zero ya form four wanasoma mle ndani. Kipigwe chini kabisa
Ni kiwango gani cha elimu inatolewa pale ni janga la kitaifa,yanayofanyika cbe yanafanyika na kwingine , Hutafuta vingapi sasa
Mm mkubwa, hapana, ni kweli vyuo vingi vina matatizo kama ya CBE ila CBE ni zaidi ya uozo, kwa ufupi pale hakuna shule hata 5% ? kuanzia waalimu wao hadi wanafunzi, Sijui ni mamlaka gani ndio inawajibika kwa chuo hiki.
wazee wa kuponda vyuo washaanza.
wazee wa kuponda vyuo washaanza.