Mgongano: Serikali Vs. Mwanahalisi - Mipaka ya Maoni?

Hivyo anaanza kuchukizwa; kuchukizwa na watu wasio na shukrani, kuchukizwa na watu ambao hawamuelewi. Hiki kinamshangaza.

I like this one, yaani muungwana haelewi his own medicine inapomrudia, na yeye alipokuwa anafanya kampeni zake za siri za urais na kuwachafua wenziwe alitegema nini? Kwamba yeye ni untouchable? Alipokuwa anawalipa wabunge wasiulize maswali kwenye bajeti yake akiwa foreign na kuwalipa wabunge hao hao wamtese Sumaye, Kigoda, na Mwandosya kwenye bajeti zao alitegema nini? Kwamaba hawa wabuneg wakishalipwa hiyo ndio itakua basi huko mbele ya safari? Hakujua kuwa wataendeela kudai kulipwa na kwamba yeye asipowalipa tena atatokea Lowassa na Rostam kuwalipa kama kawaida?

Mifano yote iliyopo duniani kwamba ushirkia wa kutafuta political power huwa haudmu kwa muda mrefu kabla ya wenyewe kwa wenyewe kuanza kugeukana alifkiri haumgusi yeye na hawa mafisadi? Kwa sababu yeye ni nabii aliyelewta kutawala siasa na Mungu?

Kama alikua haelewi hili basi hata level yake ya kufikiri itakua ni ya wasi wasi basi, na hasa kama kweli inaweza kufikia kufikiri kama politician, hili amelikoroga mwenyewe, sasa ni zamu yake kulinywa tena likiwa la moto asitafute mchawi wala kusingizia mtu yoyote, ni lake yeye mwenyewe Muungwana, labda awatafute Mkapa na Abson wamsaidie kulinywa vizuri.
 



Sitaona ajabu 2010 jamaa akihamishia familia yake Marekani.



.



Na atoweke kabisa tusimuone,haaah maanke jamaa ni very boring.He's the worst president tuliyekwisha wahi kuwa nae.
 
Mbona mambo mengine hawacharuki na kuwa efficiency hivo, mbona tungekuwa mbali sana......
 


Tena atoke mapema tuanze kumchunguza yeye.Na tusishangae kukuta yeye ni fisadi kuliko mkapa.Ila kama JK atatoka au ghafla atangaze kutogombea 2010,watanzania wata-faint kwa mshituko maanke si rahisi kwa msanii kama Jk kutaka kuachia madaraka
 
Mbona mambo mengine hawacharuki na kuwa efficiency hivo, mbona tungekuwa mbali sana......

The dataz ni kwamba "wamechukizwa" sana na line moja ya Kubenea kwenye uchambuzi wake wa hiyo habari wasiyoitaka kwamba huenda CCM na taifa kukajikuta kwenye situation kama ya Mbeki,

Now lets be honest, Mkuchika hawezi kuchukizwa na hili, ila anajaribu tu kujikinga asije akaonekana mbele ya bosi wake kuwa anashabilkia maneno ya Kubenea, lakini ukweli uko wazi kabisa hapa kuwa Muungwana mwenyewe yuko involved na this sagga.
 

Ukiona moshi ujue kuna moto.... na walisema dalili ya mvua ni mawingu...............
 
Mbona mambo mengine hawacharuki na kuwa efficiency hivo, mbona tungekuwa mbali sana......


Wangekua active hivyo si ungekuta Mkapa ameshahukumiwa,Lowasa ungekuta yeye anakaribia kifungo cha maisha jela,RA yeye angekua anakula 30yrs segerea.Chenge ungekuta safari hii tunafanya pia uchaguzi wa kumchagua mbunge wa bariadi magharibi pamoja na Rombo kwa akina Mramba,na kule kwa Karamagi huku akipelekwa na kurudishwa mahabusu


Nchimbi yeye....namuachia mkuu FMES au Jasusi aje amalizie
 
Tena atoke mapema tuanze kumchunguza yeye.Na tusishangae kukuta yeye ni fisadi kuliko mkapa.Ila kama JK atatoka au ghafla atangaze kutogombea 2010,watanzania wata-faint kwa mshituko maanke si rahisi kwa msanii kama Jk kutaka kuachia madaraka

Kuachia hawezi, infact kama umefuatilia kwa karibu sana nyendo zake recently, ni kwamba amekwua akipokea ushauri flani somewhere of how to survive na urais, bila kutoa nafasi ya CCM kumeguka, kwa sababu sasa ukweli ni kwamba tuko very close kwenye hiyo junction ya kumeguka kwa CCM,

Lowassa, alikwenda Florida, Las Vegas na NY kwa siri kufanya nini? According to the dataz hata mafao muungwana alimkatia Lowassa, kumbe mkuu hapewi mafao yote kama wastaafu wengine,

Hivi naomba kuuliza si ubalozi wa US walisema hawatatoa viza tena kwa mafisadi na familia zao, sasa ilikuwaje wakampa huyu fisadi?
 


Yeah,mku uko right hapo maanke mkuchika kwanza anajulikana kwa kumpa back up Nape ambae hakua mtandao.Lakini mkuchika nacheza siasa zake poa,angekua Nchimbi tayari angesharopoka kwamba mwanahalisi litachukuliwa hatua za kisheria as if yeye ndiye kila kitu bongo.Idiot!
 



Sitaona ajabu 2010 jamaa akihamishia familia yake Marekani.



.

Wala huyu sio wakuhama iyo 2010 mtaniambia kama hajarudi kucheka na wananchi tena na wakamchotea kura landslide ingine
 
Mkuu FMES,

Nakuaminia babake! Unatumwagia mambo yangali moto, safi sana! Instinct inaniambia kuwa huenda Kubenea alishaandaa majibu yake mapema, alisubiri kuulizwa tu! Na hapo alipowasogeza kwenye kamtego, ni kama ule mchezo wa chess, patamu mno! Muda wa "check mate" hauko mbali.
 

Hizi shuttle correspondence za barua nne ( Wizara kwa Kubenea, Kubenea kuomba muda, Wizara kukataa, Kubenea kujieleza) ndani ya masaa, ni e-mail au ? Mkuu kwa dataz! Ha haaaaa aaaaaa!

Jana Wizara ilitangaza kwamba imetuma barua, na inataka majibu by leo.

Kubenea akasema jana siku nzima hajapokea hiyo barua na alikuwa ofisini: "...taarifa hiyo ya serikali ikija tutaipokea, tutaijadili na kuitafakari kisha tutawajibu."

Wewe unasema Serikali ime correspond na Kubenea kuanzia leo asubuhi kwa back and forth nne!

Hizo dataz inawezekana zimetengenezwa!
 
 
Mkuu,hata mie naona Jk kuachia Urais ambao aliusotea for 10 years ni ndoto.Ila nchi imemshinda hata kama hataki.Sasa kumeguka ni dhahiri maanke naona chama kipo ktk delicate situation sasa,believe me mkuu,baada ya election ya 2010 kama atashinda na kushinda uchaguzi basi CCm itakwenda kufa kabisa kwani upinzani wakijiandaa vya kutosha watakua wameweka platform nzuri kupokea watu watakaokua wanatimka baada ya muungwana kumaliza muda wake.

Cha msingi sasa inabidi CUF na CHADEMA waungane na waimarishe upinzani utakaokua na nguvu.Na kama ndivyo,uchaguzi wa 2015 if God wish utakua uchaguzi mgumu kuliko chaguzi zote
 


What a crap! Kwani kila kitu ni lazima ubishe!!
 
Mkuu wangu Jasusi,

Beno Malisa ni mgombea wa uenyekiti

Mkuu FMES

Hivi huyu mtu anayetiwa Nchimbi ni nani na alianzia wapi na ni kwanini nasikia ana nguvu sana?

Pili hivi huyu Ridhiwan anajua kweli kuwa anatumiwa na mafisadi kumuangusha babaye? analijua kweli hili huyu kijana au anabebwa tuuu?

Naomba dataz mkuu
 

Lakini kwani Lowassa ni mstaafu? Unless sielewi maana ya ustaafu. Naelewa akina Kawawa, Salim, Sumaye, Malecela, walitumikia nyadhifa hizo hadi kumaliza vipindi vyao au kubadilishiwa kazi, lakini hawakujiuzulu. Hivi anayejiuzulu pia yuko katika kundi la "kustaafu"? Sheria inasemaje hapa? Pengine kukosa mafao ndio stahili yake, au?
 

Mkuu, sirikali si nia ma-messenger kibao wa kukimbia kupeleka hizi, LOL
 

Nafikiri hata mafao Lowassa hakusi kabisa, kuna mtu kwenye serikali yetu wa kuweka kifua pale, hata kama sheria inasema waziri mkuu apate mafao nafikiri wangerekebisha ili mtu akivurunda anapigwa chini na mafao hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…