Mgongo kuwaka moto

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
Wakuu,

Mama analalamika mgongo kama unawaka moto, kuna dawa yoyote ya asili ya kuweza kumaliza adha hiyo.

Asanteni!
 
kwakweli mtafute mtaalam wa kienyeji na wala usipotrze mda kwanza mshauri afanzafanueafanye vipimo ospitali asipopata jawabu basi amuone mganga wa kkweli nasio tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…