BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Jaribu pia kuangalia kiti unachotumia Belinda, isije kikawa kigumu kinashindwa ku cushion therefore mgongo unaumia.
Mi naona pengine hujakutana na mzee muda mrefu ndo maana inakutokea hivyo hata mimi nisipo kutana na wifi yako iwa napatwa na tatizo hilo nikisha jiexpress aaah swafiiiiiiii.
Pole sana BelindaJacob,nakushukuru sana kwa kuanzisha hii mada,nilipata tatizo kama lako wiki mbili zilizopita na nilijaribu kutafuta sababu ya kuumwa mgongo,na mpaka sasa sijajua nini kilisababisha, jamani kama kuna doctor huku hebu na atueleze nini husababisha mtu kuumwa na mgongo.
Belinda check pia kwa akina mama kuna mambo mengi, likiwemo hili, kama period inakaribia huwa migongo inauma sana, je wewe ni kila siku ya mungu au ni kwa vipidi tu? Kama ni vipindi observe kabala ya siku au baada?
Nina hiyo problem mimi ila ni kwa ajili ya siku, i never waste my time zaidi nameza pain killer tu au fanya massage na Aloe heat inaisha yenyewe. Kitu kingine alichosema Fidelis ni kweli kama hufanyi tendo tendo la ngono inaleta maumivu pia.
belinda,i am available free of charge kwa sababu wewe ni member humu JF kuu massage therapautically na with unrivalled proffesionalism huo mgongo mpaka maumivu yapotee.results are guaranteed,usually i charge 50£ per session
Mi naona pengine hujakutana na mzee muda mrefu ndo maana inakutokea hivyo hata mimi nisipo kutana na wifi yako iwa napatwa na tatizo hilo nikisha jiexpress aaah swafiiiiiiii.
belinda,i am available free of charge kwa sababu wewe ni member humu JF kuu massage therapautically na with unrivalled proffesionalism huo mgongo mpaka maumivu yapotee.results are guaranteed,usually i charge 50£ per session
Mi naona pengine hujakutana na mzee muda mrefu ndo maana inakutokea hivyo hata mimi nisipo kutana na wifi yako iwa napatwa na tatizo hilo nikisha jiexpress aaah swafiiiiiiii.
maybe,maybe you are a ONE MINUTE manHeheheeh tupo pamoja kila week end, labda nitabadili aina za massage !
Heheheeh tupo pamoja kila week end, labda nitabadili aina za massage !
Miezi mitatu hufanyi kwa sababu ni mgonjwa au uko mbali na umpendaye? twambie kivipi.
Mkuu Fide, Yo Yo & Co,Belinda usitake nicheke mamie, mimi massage nafanya mwenyewe na hiyo aloe heat. Kiukweli sina wa kunifanyia massage hata BF sina mpaka nifanye mawindo mara moja moja tena kwa mbinde kweli kweli.
Mmesikia huyu au kny hizi thread mnapita speed ya vogue iliyoibwa?