Mgonja, Ndulu differ on Tangold ownership

jamani msipate pressure bure mkafa. hapa mnazunguka mbuyu tu. Muhusika kamili kakaa kimya hataki hata kuongea, na huyo si mwingine bali ni Mjasiriamali mpendwa sana Mr. Clean. Bila huyo tutajadili hapa mpaka mishipa ya shingo itauma bila ufumbuzi wowote
 
Ngabu,

Hawa watu wenye "akili sana" ndio wanatuponza... hebu fuatilia profile ya Chenge, Balali, na huyu Mgonja ....

Grrrrrrrrr

Mwafika wa kike,

wanaotupoza sio wenye "akili sana" bali yule tuliyempa uwezo wa kuwaadhibu lakini anashindwa kwa kuwaonea "aibu"!!

sijui anataka uwezo gani tena mwingine!
 
Mtasemaaaa Weee!!!!!!!!!! Mwisho Mtalala. Au Mnabisha?

Si Unaona Ya Balali?
Ya Iptl?
 
Nasikia kizunguzungu nikisijia Mgonja ni almost director wa kila kampuni la ummma!!! sh**t Watanzania wote muna makengeza... badilisheni sheria please!
 
Bubu,
Labda haya madudu yamefanyika ktk awamu ya tatu of uor gorvenment, so ni vigumu sana kumlaumu Gray Mgonja, kwani pale BoT mambo ni mengi
 
Bubu,
Labda haya madudu yamefanyika ktk awamu ya tatu of uor gorvenment, so ni vigumu sana kumlaumu Gray Mgonja, kwani pale BoT mambo ni mengi

Hata kama madudu yamefanyika katika awamu ya tatu. Hawa jamaa kama viongozi wa juu ndani ya serikali na pia wasomi inabidi waongee kwa uhakika wakiwa na supporting documents wa kile wanachoongea, vinginevyo wote wanaonekana ni wababaishaji tu.

Documents za awamu ya tatu zipo, kama zimeshaharibiwa ili kuficha ushahidi basi watwambie hivyo kwamba hawana uhakika na wanachoongea.
 
Nafikiri Wakurugenzi wa TANGOLD Walisha jitaja kuwa ni CHenge, Rutabanzibwa, Mgonja na wengine tuwaombe tu kwa busara warudishe pesa hizi.

 
Nasikia kizunguzungu nikisijia Mgonja ni almost director wa kila kampuni la ummma!!! sh**t Watanzania wote muna makengeza... badilisheni sheria please!

...Azimio la Arusha au la Zanzibar?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…