Mgonjwa aliyechomwa sindano za quinine, je zinaweza kumpa athari zaidi

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Heshima kwenu wakuu poleni kwa majukumu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombe niulize.

Eti mtu aliyechomwa sindano za quinine akiwa mdogo na zikamuathiri uwezo wake wa kusikia, zinaweza kumletea na athari nyingine za ziada kutokana na sumu yake kukaa sana mwilini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hizi sindano bado zipo.

Matatizo ya masikio katika kusikia.


Tusubiri wataalam zaidi mkuu
 
sidhani ila waweza google side effect za quinine..
athari kubwa ni kupunguza uwezo wa kusikia au kuuwa kabisa masikio....
imetufanya wengi wetu tuishi Miserable life

Sent using Jamii Forums mobile app
nimegoogle mara nyngi ila naona tu side effect kwny maskio tu
ila kuna ndugu yangu ilimuathiri pia maeneo yanayokaribia taya na masikio--pamevimba kuliko kawaida
sasa sijui hii nayo itakuwa side effect yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…