Mgonjwa amuua nesi kwa risasi ya kichwa, polisi wamkamata

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Polisi siku ya Jumatano walimkamata mgonjwa aliyemuua nesi kwa kumpiga risasi ya kichwa kwenye kituo cha afya cha Chiromo huko Westlands, Nairobi

Mgonjwa huyo aliyetambuliwa kwa jina la Joseph Njoroge Mungai mwenye kibali cha kumiliki silaha alimpiga risasi ya kichwa daktari huyo aliyefahamika kwa jina la Faustine Mwandime Mwandilu

Kamanda wa polisi wa Nairobi Japheth Koome amesema mtuhumiwa atapelekwa mahakamani kwa kesi ya mauaji

Mtuhumiwa huyo mwenye matatizo ya akili alipelekwa na kulazwa hospitalini hapo akiwa na bunduki baada ya kukataa kuiwasilisha kwa walinzi wa hospitali

==========================================================
Police on Wednesday arrested a patient who shot and killed a nurse at the Chiromo Medical and Rehabilitation Centre in Westlands, Nairobi.

The patient, identified as Joseph Njoroge Mungai, a licensed firearm holder, shot 43-year-old Faustine Mwandime Mwandilu in the head at around 7.30pm last night.

The nurse in charge of the medical facility, Kevin Mulinge, reported the incident at Parklands Police Station.

“I had just reported to work for the night shift to relieve Faustine and while I was still in the changing room, I heard a gunshot and rushed to check what had happened at the nurses office only to find my colleague lying in a pool of blood, while the patient was screaming for help,” recounted Mulinge.

Police who rushed to the scene arrested the patient and recovered a mini-ceska pistol with eight rounds of ammunition.

Confirming the incident, Nairobi Police Commander Japheth Koome said the suspect would be arraigned in court to face murder charges.

The suspect, who has a mental condition was admitted while in possession of the gun after he declined to surrender it to the hospital’s security.

The body of the deceased was taken to Chiromo Mortuary.

Source: Citizen Tv
 
and after refusing to surrender the gun to the watchman on duty the patient was allowed to walk into the medical facility armed.wasn't he? And the watchman on duty simply shrugged his shoulders in despair didn't he? Guiness Book stupidity!
 
Mtuhumiwa aliyekuwa na matatizo ya akili,Alafu akaruhusiwa kuingia na silaha yake wodini,Nani wa kulaumiwa kama siyo Ulinzi wa hospitali?Hospitali inahusika katika hayo mauwaji.
 
maajabu ya mwaka
 
Ingekuwa ni hapa bongo makamanda wangeanza kumlaumu Magufuli.
 
Polisi siku ya Jumatano walimkamata mgonjwa aliyemuua nesi kwa kumpiga risasi ya kichwa kwenye kituo cha afya cha Chiromo huko Westlands, Nairobi

Mgonjwa huyo aliyetambuliwa kwa jina la Joseph Njoroge Mungai mwenye kibali cha kumiliki silaha alimpiga risasi ya kichwa daktari huyo aliyefahamika kwa jina la Faustine Mwandime Mwandilu

Kamanda wa polisi wa Nairobi Japheth Koome amesema mtuhumiwa atapelekwa mahakamani kwa kesi ya mauaji

Mtuhumiwa huyo mwenye matatizo ya akili alipelekwa na kulazwa hospitalini hapo akiwa na bunduki baada ya kukataa kuiwasilisha kwa walinzi wa hospitali

==========================================================
Police on Wednesday arrested a patient who shot and killed a nurse at the Chiromo Medical and Rehabilitation Centre in Westlands, Nairobi.

The patient, identified as Joseph Njoroge Mungai, a licensed firearm holder, shot 43-year-old Faustine Mwandime Mwandilu in the head at around 7.30pm last night.

The nurse in charge of the medical facility, Kevin Mulinge, reported the incident at Parklands Police Station.

“I had just reported to work for the night shift to relieve Faustine and while I was still in the changing room, I heard a gunshot and rushed to check what had happened at the nurses office only to find my colleague lying in a pool of blood, while the patient was screaming for help,” recounted Mulinge.

Police who rushed to the scene arrested the patient and recovered a mini-ceska pistol with eight rounds of ammunition.

Confirming the incident, Nairobi Police Commander Japheth Koome said the suspect would be arraigned in court to face murder charges.

The suspect, who has a mental condition was admitted while in possession of the gun after he declined to surrender it to the hospital’s security.

The body of the deceased was taken to Chiromo Mortuary.

Source: Citizen Tv

1..MTUHUMIWA ANA MATATIZO YA AKILI HALAFU ANATEMBEA NA BASTOLA

2..WALINZI WALISHINDWA KUICHUKUA ALIGOMA KUWAPA SILAHA

3..MTUHUMIWA AMEKAMATWA KAFUNGULIWA MASHTAKA

HALAFU JUGDE ATASEMA AKAPIMWE AKILI ATAGUNDULIKA HANA AKILI TIMAMU APELEKWE WODI YA VICHAA HOSPITALI

PICHA IMEISHA THE END

IS LIKE SERIOUSLY [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]

MI NAHISI WAO NDIO WANA MATATIZO YA AKILI
 
That is treason...sijui anajua analofanya?
Zilikuwa ni mbwembe tu kama zile za mbwa mwitu aliyeshiba kupitiliza. Hujasikia amehairisha siku ya kuapishwa kwake? Eti watapatiana tarehe mpya, itakuwa labda ndo ile siku tunayoingoja sote, ya kiama. Teh teh.
 
Back
Top Bottom