Mgonjwa kwao, lawama Tanzania - Mabeberu hawa!

Jamani hao watu kwa nini wanakubali kuendelea kufa hivyo,Ethiopia ana 129 death na ana madege kibao kwa nini asirushe madege yake kuwaleta Tanzania ambako hakuna corona?au Kenyans why can't they just cross the border to corona free land?
 
Corona ipo ila inatibika dawa yake ni kuondoa HOFU kwa sasa tanzania tunaenda kuimaliza kabisa kwa sababu hatuiogopiiiiiii na najua tumeshaugua asilimia zaidi ya 50 ya wtz wote but tunadunda na miili inazidi kujiimarisha. Ikifika muda itazoeleka kama mafua tuu
 
Wakati ule Tz bado kuna hofu ya corona mitandaoni kulikuwa na video watu wakizikwa usiku mara sijui watu wakianguka na kufa,watu walikuwa kila siku mitandaoni wakitoa shuhuda za watu wanaumwa na wengine kufa ila toka hofu iondolewe hakuna tena hizo vitu.
 
Jamani hao watu kwa nini wanakubali kuendelea kufa hivyo,Ethiopia ana 129 death na ana madege kibao kwa nini asirushe madege yake kuwaleta Tanzania ambako hakuna corona?au Kenyans why can't they just cross the border to corona free land?

Wanasema waungwana "mwenye macho haambiwi tazama".

Inawezekana kila wanapoangalia bado ni giza tu. La kuwavutia bado hawajaliona.

Kumalizana na huyu mdudu ni jambo la kheri mno ambalo kila mwenye macho atapenda kulifuatilia hata kuli copy na kuli paste ikibidi tokea kokote.

Kidudu mtu chenyewe kwa hakika hakiwezi kushangilia kwa vyovyote uwepo wa makelele yoyote dhidi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…