kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,111 Jun 6, 2018 Thread starter #21 Asante sana mkuu Uchira 1. Najua umeshusha nondo ya uhakika. Sio tu umejibu maswali bali umetoa shule kabisa. Tunasubiri muendelezo wa hii mada.
Asante sana mkuu Uchira 1. Najua umeshusha nondo ya uhakika. Sio tu umejibu maswali bali umetoa shule kabisa. Tunasubiri muendelezo wa hii mada.
mtoto wa kipare Senior Member Joined Jan 3, 2018 Posts 187 Reaction score 196 Jun 6, 2018 #22 Sky Eclat said: Ajifunze kula mchemsho, olive oil ni nzuri lakini ale in moderation kama kunyunyiza juu ya salad. Kuna dawa za regulate cholesterol. Click to expand... Sky eclat# nakukubali sana hakunaga mada unaachgaa kuchangia hta siku moja. Na unatoa jibu kwa usahihi big up
Sky Eclat said: Ajifunze kula mchemsho, olive oil ni nzuri lakini ale in moderation kama kunyunyiza juu ya salad. Kuna dawa za regulate cholesterol. Click to expand... Sky eclat# nakukubali sana hakunaga mada unaachgaa kuchangia hta siku moja. Na unatoa jibu kwa usahihi big up
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Jun 6, 2018 #23 Hizi zinazo itwa ‘tafiti’ za ndizo zinazo changia kwa kiasi kikubwa kutuuwa Mara leo hiki ni halali kesho haramu, keshokutwa haramu,.... nyambafu kabisaa!!
Hizi zinazo itwa ‘tafiti’ za ndizo zinazo changia kwa kiasi kikubwa kutuuwa Mara leo hiki ni halali kesho haramu, keshokutwa haramu,.... nyambafu kabisaa!!