Mgonjwa wa moyo anaweza kushiriki tendo la ndoa?

Mgonjwa wa moyo anaweza kushiriki tendo la ndoa?

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Naweza nisiwe katika jukwaa maalum ila nina maswali ninataka nipate majibu yake.

Kwa mgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi na mkewe? Kama ndiyo, ni kwa utaratibu upi? Kama sio, jawabu ni nini ili iwe ndio?

Je, pia kuna hatari zozote zile, kama ameshaoa?

Anyways, changamoto zao ni zipi wagonjwa wa miyo walio kwenye ndoa?

Asanteni sana.
 
Naweza nisiwe.katika jukwaa maalum,ila nina maswali nanataka nipatemajawabu yake

Kwmgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi namkewe? Kama ndiyo, nikwa utaratibu upi...
Ungeelezea huo ugonjwa wa moyo ni upi,presha,kuziba kwa mirija ya moyo au kidonda kwenye moyo?,by the way pole sana mkuu
 
Naweza nisiwe.katika jukwaa maalum,ila nina maswali nanataka nipatemajawabu yake

Kwmgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi namkewe? Kama ndiyo, nikwa utaratibu upi?
Kama sio, jawabu ni nini ili iwendio?

Au hawezi? Je pia kuna hatari zozote zile,kama ameshaoa?

Anyways,changamoto zao ni zipi wagonjwa wa miyo walio kwenye ndoa?

Asanteni sana...
Jichanganye😅😅
 
Fatilia ushauri wa daktari wako mkuu .

Pia hata Kama haumwi bado ngono inaweza kukusababishia madhara ya kiafya makubwa Sana endapo ukiipa nguvu na kuifikiria .


So FAHAMU hilo .
 
Back
Top Bottom