Mgonjwa wa moyo anaweza kushiriki tendo la ndoa?

litutumbwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
642
Reaction score
1,303
Naweza nisiwe katika jukwaa maalum ila nina maswali ninataka nipate majibu yake.

Kwa mgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi na mkewe? Kama ndiyo, ni kwa utaratibu upi? Kama sio, jawabu ni nini ili iwe ndio?

Je, pia kuna hatari zozote zile, kama ameshaoa?

Anyways, changamoto zao ni zipi wagonjwa wa miyo walio kwenye ndoa?

Asanteni sana.
 
Naweza nisiwe.katika jukwaa maalum,ila nina maswali nanataka nipatemajawabu yake

Kwmgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi namkewe? Kama ndiyo, nikwa utaratibu upi...
Ungeelezea huo ugonjwa wa moyo ni upi,presha,kuziba kwa mirija ya moyo au kidonda kwenye moyo?,by the way pole sana mkuu
 
Sasa mkuu una high BP, na bado unaendekeza ngono, SS si bola hizo Dawa ulizo pewa Uzi ache Uli ufe mapema,
Kuna stage ukifukia , baadhi ya vitu yakupasa kuacha kabisa
BP Ina mambo yake na haikatazwi ku sex maana sex inapunguza stress ndg yangu
 
Jichanganye😅😅
 
Fatilia ushauri wa daktari wako mkuu .

Pia hata Kama haumwi bado ngono inaweza kukusababishia madhara ya kiafya makubwa Sana endapo ukiipa nguvu na kuifikiria .


So FAHAMU hilo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…