Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Nawashukuru.
Mgonjwa ameshafariki. Ubarikiwe sana
Kuna ukweli Mchungu nlitaka kuusema lakini si vizuri..!! Pole sana ndugu yangu lakini USIJARIBU KUACHA DAWA ZA UKIMWI yani hata ukijakuziirudia ulizoiacha unakuta hazifanyi kazi virus washakuwa suguu.. Wengi huwa hawaponiii.kaacha dawa??mwambieni arudie dawa haraka sana roho itaacha mwili akifanya utani.
na mimi nilitaka ninyooshe maelezo na hisi hivyo ulivyofikiri lakini nikaona ngoja ni replay hivyo tu inatoshaKuna ukweli Mchungu nlitaka kuusema lakini si vizuri..!! Pole sana ndugu yangu lakini USIJARIBU KUACHA DAWA ZA UKIMWI yani hata ukijakuziirudia ulizoiacha unakuta hazifanyi kazi virus washakuwa suguu.. Wengi huwa hawaponiii.
NimekuPM.Wadau nianze kwa kuwapa pole za mihangaiko ya kutwa mzima ya leo.
Nina ndugu yangu anaumwa ngoma yupo stage ya mwisho. Amepelkwa hospital nyingi kila hospital unapiga rufaa kwenda hospital nyingine kama vile hataki field pale...