Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nashkuru sana lkn nimekuwa naogopa sana hizi huduma za mionzi kwani kuna njia mbadala?Afanyiwe X ray, au MRI scan
Hujawahi kula chakula cha microwave? Huwa kinapashwa moto na mionzi pia. Kama kuna hatali binadamu tunaichukua kira siku ni usingizi, urishawahi kuwaza usipoamka je?Sawa nashkuru sana lkn nimekuwa naogopa sana hizi huduma za mionzi kwani kuna njia mbadala?
Nikadhani huenda ni sabb ya lifestyle yake ya kutungua nguo dukani na kutungika ndo sababu so nikajipa moyo huenda kwa massage ikafaa lkn naona sijapatia 🤔
Wewe Anita Kajembe una vijembe shoka ujue 🙂Hajawahi kula chakula cha microwave? Huwa kinapashwa moto na mionzi pia. Kama kuna hatali binadamu tunaichukua kira siku ni usingizi, ulishawahi kuwaza usipoamka je?
Kama hajapata ajali hilo eneo la bega...huyo ni mgonjwa anaitaji Physioterapy.Sawa nashkuru sana lkn nimekuwa naogopa sana hizi huduma za mionzi kwani kuna njia mbadala?
Nikadhani huenda ni sabb ya lifestyle yake ya kutungua nguo dukani na kutungika ndo sababu so nikajipa moyo huenda kwa massage ikafaa lkn naona sijapatia [emoji848]
Nashkuru sana mkuu kwa ushauri, nitawacheck Physiotherapists waliopo BMCKama hajapata ajali hilo eneo la bega...huyo ni mgonjwa anaitaji Physioterapy.
Nkupongeze kwa kumfanyia massage but massage ni sehemu ya ku stimukate misuri na mishipa ya fahamu.
Ila massage ni cha mtoto, anaitaji kufanyiwa TENS/Nerve stimulation kwa vifaa maalum na hii ufanywa idara ya Physiotherapy na zinapatikana hospitali zilizojipanga tu kutoa huduma kama Muhimbili kwa upande wa serikali.
Incase utaitaji huduma hii na upo Dar tuwasiliane