Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Nilikuwa muumini wa muddy physics, pamoja na kuwa jamaa hakuwa na exercise nyingi na kusolve maswali kama Mgote ila jamaa alikuwa na uelewa mkubwa sana na physics. Mgote yeye amekariri tu na anaamini katika ule msuli tembo. Kinachombeba Mgote ni aina ya sylabus ya bongo inataka watu waliokariri maswali na sio wenye uelewa.
So utaishia kukariri na kufaulu mambo usiyoyaelewa na huwezi kuyaapply popote, ndio hawa wanaajiriwa mainjinia na GPA kubwa ila vilaza.
Muddy yeye alikuwa anakupa inspiration ya kuelewa madude. Kiukweli sylabus ya bongo wanatakiwa waitwist iendane hivi ili kutengeneza wanafunzi wenye uelewa ambao wanaweza kuapply waliyosoma na kuikwamua jamii.