Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Na ndio majority ya wabongo tulivyo...tunaishi kwa kukariri mpaka makazini.Sawa, but ninachojua vitini vya mgote vimenisaidia Mimi kuwepo hapa nilipo
Nmesema wao waaply?Walimi sio mainjiania unataka waaplay wapi wao kazi yao kutindisha
Then umesema umesema huyo Mgote anakariri Mudy anaelewa na hujaonesha tofauti eti inspiration ndio nini
Sawa, kwa bahati mbaya sikumjua kiundani so sina commentPhysics mwamba alikuwa Elias kihombo
Anaelewa madude ya physics nje ndani.. na anameza nje ndanii..
Kwenye kuelewa anashinda na kwenye kumeza anashinda
Hoja yako ku apply au Nini mbona hueleweki??Nmesema wao waaply?
Wanafunzi wanaosoma kwa mentality ya kukariri ndio hawawezi kuapply maarifa yao popote.
Mgote anakukaririsha maswali mengi as possible ili ukikutana na maswali necta useme "Aah hili nilishalisolve kwenye kitini cha mgote"
ila ukikutana na ambalo hujasolve unapigwa za uso.
Muddy alikuwa anakufanya uielewe topic in such a way hata swali lijeje unakuwa unajua jinsi ya kuliapproach.
Walimu wangepikwa wakaacha kucopy maswali kwenye Vitabu NECTA ,waweze kupika maswali ambayo hayapo kwenye rejea za Vitabu ndo utaona maajabu ya hapa bongo ,vijana watafeli kama kuku.Nilikuwa muumini wa muddy physics, pamoja na kuwa jamaa hakuwa na exercise nyingi na kusolve maswali kama mgote ila jamaa alikuwa na uelewa mkubwa sana na physics...Mgote yeye amekariri tu na anaamini katika ule msuli tembo.
Kinachombeba mgote ni aina ya sylabus ya bongo inataka watu waliokariri maswali na sio wenye uelewa.
So utaishia kukariri na kufaulu mambo usiyoyaelewa na huwezi kuyaapply popote, ndio hawa wanaajiriwa mainjinia na GPA kubwa ila vilaza.
Muddy yeye alikuwa anakupa inspiration ya kuelewa madude..kiukweli sylabus ya bongo wanatakiwa waitwist iendane hivi ili kutengeneza wanafunzi wenye uelewa ambao wanaweza kuapply waliyosoma na kuikwamua jamii.
Na hii ni sababu kubwa kwanini tokea 61 mpaka leo kuna vijiji hakuna maji, hospitali, shule, umeme, barabara wala vyooWee kariri Kama unabisha subiri kuelewa sas wenzako wanapewa vitengo vikubwa wee unakadhana kuelewaaa Nani kakumbia bongo wanataka watu kuelewa watu tunataka kufaulu tu
Ukifanya kazi kwa wazungu hata kampuni zao hapa bongo halafu ufanye serikalini...utaona tofauti za kifikra.Hoja yako ku apply au Nini mbona hueleweki??
Kwahiyo hao waliosoma kwa Mgote mitihani walifauru au Nini??
Kukariri maanayake Nini na kuapply maanayake Nini??
Yeah, elimu yetu pia tunatakiwa tuishape iende hivi..Nilienda ulaya miaka fulani.. kule ndo unaona application ya physics na hesabu katika kutoa solutions. Vyuo vyao vya tech viko vizuri sana. Makampuni madogo tu lakini yana labs za hatari wanaunda vitukonki
Muddy alifariki...mgote sijuiMgote na muddy c nilisikia wote wamefariki hawa
Hhaahah matango kivipi?Mgotee ana balaaa anasolve matangoo tuu...[emoji3][emoji3][emoji3]