NGOJA NIKUFUNDISHE MPIRA SHABIKI WA YANGA(NYUMA MWIKO): kocha la boli fadlu mpaka sasa hivi ana miezi mi3 tu tangu akabidhiwe timu na wachezaji wote waliopo simba hajawasijili yeye wote kawakuta kasoro ateba tu ndio kamsajili yeye. Na hadi sasa hv kafanikiwa kuifanya simba iwe bora kwenye eneo la ulinzi kuliko simba zote. kwenye eneo la ushambuliaji bado simba inahangaika coz bado hatujapata muunganiko na kuna wachezaji wametudisapoint mfano mutale,kibu,mukwala ili timu iwe bora inahitaji vitu vi4 1.wachezaji bora 2.muunganiko 3.kocha bora mwenye mbinu bora. 3.muda. Simba ina wachezaji bora but kuna maeneo bado hatujapata wachezaji bora wanaoweza kuifanya simba iwe bora mfano hatuna wingers bora wenye madhara(no.7 na no.11) mutale hamna kitu kibu bado anajitafuta may be mpanzu anaweza kutibu hili tatizo. Tumpe muda mwalimu.