William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Mgunda alipoingia alianza kuwachezesha wachezaji waliokuwa hawapati namba, ambao wapinzani hawajawazoea na kuwajua.Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu.
hamtaki onana, fred na mh.
Hilo linauzi mnooo.
Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
Sio kujulikana na timu pinzani ata wao walikuwa hawajaungana kuwa timuMgunda alipoingia alianza kwachezesha wachezaji waliokuwa hawapati namba, ambao wapinzani hawajawazoea na kuwajua.
Amepoteza point ngapi na Mgunda alipoteza point ngapi? Tuanzie hapoKwa huyu fadlu mh
Yaani hakuna neno mtaacha lisema;Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu.
hamtaki onana, fred na mh.
Hilo linauzi mnooo.
Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
Mgunda hakupoteza toka apewe timu upya. Alidroo moja tu dhidi ya Kagera. Huyu mechi mbili refa anaingilia katiAmepoteza point ngapi na Mgunda alipoteza point ngapi? Tuanzie hapo
simba wamepita makocha wengi sana ila huyu fadlu davids anajua mpaka anakera. Kocha la viwango vya kimataifa siku simba wakimfukuza ntaandamana peke yangu.Mgunda al
Mgunda hakupoteza toka apewe timu upya. Alidroo moja tu dhidi ya Kagera. Huyu mechi mbili refa anaingilia kati
Wewe una chuki tu na huyo kocha siku zote unamnenea mabaya kama akuyombea mkeo vile hadi unakera.Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu.
hamtaki onana, fred na mh.
Hilo linauzi mnooo.
Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
kwani hujui kuwa mgunda ni mganga wa kienyeji?Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu.
hamtaki onana, fred na mh.
Hilo linauzi mnooo.
Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo