Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Hatimaye mwamba Juma Mgunda amekabidhiwa timu ya taifa rasmi baada ya kocha Adel Amrouche kufungiwa na CAF. Juzi nilishauri kwamba kocha Adel Amrouche hatoshi atupishe ikibidi afukuzwe huko huko Ivory Coast kuna baadhi ya mashabiki maandazi wakataka kunitoboa macho hatimaye TFF imetangaza kumsimamisha kazi na timu amekabidhiwa mzawa Juma Mgunda na msaidizi wake Hemed Morocco.
Kocha Adel Amrouche alikuwa ameshakosa mbinu za kufundisha kuweza kuisaidia timu akahamia kwenye kichaka cha majungu na tuhuma za uongo dhidi ya Morocco jambo lililozua utata na CAF kutangaza kumfungia mechi 8 leo
Naamini Mgunda atatuvusha huyu tutarajie makubwa kwenye mechi hizi mbili zilizosalia
Iwe fundisho