Mgunda,matola...nelson okwa acheze mechi zote zanzibar

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Mpeni nafasi tena namba 8 na namba 6 katika mechi zote mbili vs kipanga na malindi

Hatutarajii mambo ya ya yayayayayayaya trab na trat

Mpeni nafasi tumuone kama hafai tujue moja
 
Timu yangu ya Simba mwaka huu imejaza wachezaji wa sagula sagula
 
Yaani Juma Mgunda aache kumpa nafasi kijana wake Victor Akpan, aliyeishi maisha ya tabu na dhiki tangu aliposajiliwa hapo MOO FC!!

Aende kumpa nafasi mchezaji ambaye anaruka ruka tu uwanjani!! Huyo arudi tu huko alikotoka kwenye usajili ujao wa dirisha dogo.
 
Kama alivyorudi kambole
 
Back
Top Bottom