njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
NakaziaMpeni nafasi tena namba 8 na namba 6 katika mechi zote mbili vs kipanga na malindi
Hatutarajii mambo ya ya yayayayayayaya trab na trat
Mpeni nafasi tumuone kama hafai tujue moja
Maana hapangwi kabisa huyu jamaa na za ndani zinadai wakala wake alikazia dau kubwa ikabidi yeye okwa ashushe dau lake shida aje simba tu,namuonea huruma sanaNakazia
Kwa kweli.. huyu si Utopolo huyuUsitufokee. Hatupangiwi
Kumbe Kambole alisajiliwa SimbaTimu yangu ya Simba mwaka huu imejaza wachezaji wa sagula sagula
Kama alivyorudi kamboleYaani Juma Mgunda aache kumpa nafasi kijana wake Victor Akpan, aliyeishi maisha ya tabu na dhiki tangu aliposajiliwa hapo MOO FC!!
Aende kumpa nafasi mchezaji ambaye anaruka ruka tu uwanjani!! Huyo arudi tu huko alikotoka kwenye usajili ujao wa dirisha dogo.