Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wale wa Fair competition kwenye hili mbona mko kimya? Mgunda kaazimwa na Simba SC kutoka Coastal Union, haijulikani ni lini atarejea Coastal Union"
"Halafu kabla ya December klabu iliyomuazimisha Mgunda (Coastal) itakutana na klabu iliyomuazima Mgunda (Simba)...."
".....hapa kuna Fair competition kweli?"
"Angechukuliwa moja kwa isingeleta ukakasi. Kwa hiyo Coastal Union wakipoteza dhidi ya Simba hoja ya influence ya kocha Mgunda kwenye matokeo hayo mtaipinga vipi wazee wa fair competition ?!"
"Hakutakuwa na match fixing hapa?"
.
Kocha Juma Mgunda anaiacha project ya Coastal Union aliyoirejesha baada ya kutetereka kwa kocha mgeni, leo akiwa Simba SC ina maana anaicha project ya Coastal Union wakati kaiandaa?"
"Kuna Guarantee gani juu yake baada ya emergency clause kupita na Simba SC kupata kocha mgeni, watamfukuza ilihali Mgunda kawa kama Hitimana part time?!"
"Project ya sasa ya Simba ni ipi?"