Mgunda mpaka sasa anakuwa Kocha Mkuu wa timu mbili kwa wakati mmoja

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wale wa Fair competition kwenye hili mbona mko kimya? Mgunda kaazimwa na Simba SC kutoka Coastal Union, haijulikani ni lini atarejea Coastal Union"

"Halafu kabla ya December klabu iliyomuazimisha Mgunda (Coastal) itakutana na klabu iliyomuazima Mgunda (Simba)...."

".....hapa kuna Fair competition kweli?"

"Angechukuliwa moja kwa isingeleta ukakasi. Kwa hiyo Coastal Union wakipoteza dhidi ya Simba hoja ya influence ya kocha Mgunda kwenye matokeo hayo mtaipinga vipi wazee wa fair competition ?!"

"Hakutakuwa na match fixing hapa?"
.
Kocha Juma Mgunda anaiacha project ya Coastal Union aliyoirejesha baada ya kutetereka kwa kocha mgeni, leo akiwa Simba SC ina maana anaicha project ya Coastal Union wakati kaiandaa?"

"Kuna Guarantee gani juu yake baada ya emergency clause kupita na Simba SC kupata kocha mgeni, watamfukuza ilihali Mgunda kawa kama Hitimana part time?!"

"Project ya sasa ya Simba ni ipi?"
 
Kama rais mwenyewe ni mwanachama wa Coastal na Simba kwa wakati mmoja, unategemea nini? Itashindikana tu kubadilisha jina la Lazarus Kambole kwenye usajili, na kuliweka la Tuisila Kisinda!

Ila siyo kwa Juma Mgunda kufundisha timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.
 
Inavyodaiwa ni kwamba mkataba wake na Coastal Union uliisha na Coastal ilikuwa kwenye mazungumzo ya ku extend mkataba ila Simba ikaingilia kati
Mgunda alikuwa Ana mkataba na costal jamaa alifundisha kisela sela tu
 
Acha kujichosha bure simba ni kubwa hapa nchini kwahiyo lazima wanachokitaka watakipata muda wowote hakuna wakuipinga.
Kubwa labda msimbazi,mnashindwa kumsajili hata sopu mbona navyosikia mna pesa za m bet,pesa za sport pesa,pesa za moo bado tena pesa za huko njee mnashindwa kumsajili mchezaj wa million 400 pyuuuuuu kajambeni huko
 
Umesema kwa hisia.
 
Hao wa kimataifa hawakoseagi, wajukuu wa Karia. Halafu kwenye ligi wakikutana kweli kutakuwa na Fair competition.

Ila hii ndio bongo kivyetuvyetu,ila Simba mmetisha kwa hili,mnaweka records kila siku nyie ndio wa kwanza duniani na uzuri TFF wamelikubali.
 
Kubwa labda msimbazi,mnashindwa kumsajili hata sopu mbona navyosikia mna pesa za m bet,pesa za sport pesa,pesa za moo bado tena pesa za huko njee mnashindwa kumsajili mchezaj wa million 400 pyuuuuuu kajambeni huko
Poojo tu za Mwamedi.
 
Mkataba umeisha na bado akawa anaifundisha? Na barua inaeleza kuishukukuru COASTAL UNION kwa kukubali kuwaazima kocha wao, au hujaona hapo..??
Makocha watanzania kumbe wanaweza kuazimwa sikulijua hilo nipo nyuma sana😇
 
Simba anawakilisha nchi, kwa hiyo tatizo lake ni tatizo la kitaifa, lazima lipewe kipaumbele kwanza.
 
Simba anawakilisha nchi, kwa hiyo tatizo lake ni tatizo la kitaifa, lazima lipewe kipaumbele kwanza.
Kweli kabisa kwa hiyo Coast na Simba wakikutana inakuwa si mechi bali kikao cha familia na kwenye familia zetu mkubwa amuheshimu mtoto.
 
Na huwezi kumsikia Karia kwa hili.
 
Kwahiyo coastal ilikua inafundishwa kisela tu na kocha asiye na mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…