GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Mohammed Outarra
6. Jonas Mkude
7. Kibu Denis
8. Sadio Kanoute
9. Moses Phiri
10. Football Genius Clatous Chama
11. Augustine Okra
au
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Kennedy Juma
5. Henock Inonga
6. Jonas Mkude
7. Augustine Okra
8. Sadio Kanoute
9. Moses Phiri
10. Football Genius Clatous Chama
11. Peter Banda
Tunaojua Mpira hatutaki kabisa kuona Mpuuzi Pape Ousmane Sakho anaanza ila Timu ikishashinda Goli kuanzia Tatu na zimebakia dakika 15 ndiyo mnaweza Kumuingiza ila akaendeleze Upuuzi wake ambao kwa muda huo utakuwa na Faida kwa Simba SC hasa katika Mbinu ya Kukaa na Mpira huku tukipoteza muda dakika ziishie tuwaondoe Wamalawi na tugange yajayo Kimashindano.
Na hata ikitokea mkamwanzisha huyu Pape Ousmane Sakho tafadhali mwambieni kabisa kuwa Wana Simba SC tumeshauchoka Utoto na Upuuzi wake na tunataka acheze Kitimu na kwa Ushirikiano zaidi na Wenzake na siyo Ubinafsi na Uchoyo wake ambao Kutwa huwa inaigharimu Timu hasa ikiwa inahitaji Ushindi muhimu na wa mapema.
Nawatakia SSC Mchezo Mwema leo.