CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Hivi ni lini tutaanza kupenda vya kwetu!
Unakuta mtu anamchukia Matola!
Ukimuuliza sababu anasema amekaa muda mrefu! Hivyo tu!
Tangu lini kukaa muda mrefu sehemu ikawa kosa? Lipi baya ambalo matola amefanya?
Ndugu zangu tuache kuamini Kila mzungu ni Bora kuliko sisi, na kuendelea kutumia gharama nyingi bila sababu yoyote, Kikubwa Simba iwekeze kwenye kikosi, Wachezaji wapambane , Uongozi utoe ushirikiano na sisi washabiki tuwe nao kuwatia moyo!
Kwa muda mfupi uliokuwepo ingekuwa ni akili za kijinga kuchukua kocha mgeni nje ya Tanzania akae na timu Kwa muda huu, Lakini ikumbukwe katika mafanikio haya yote ya miaka mitano Kwa Simba huwezi kuacha kumtaja Matola.
Tuache Chuki na wivu