Waswahili walisema raha ya ngoma wiingie ucheze,nilipo kuwa nje ya uwanja nilikuwa naona shida sana pale ambapo mawazo yangu machache hayawezi kuchangamana na mengine.
Hivyo wanajf naomba mnipokee ili nami nifaidi uhondo wa great thinkers kwa kuelimishwa,kukosolewa lakini pia nami kutoa mchango wangu ambao nao utasaidia.
Natanguliza shukrani kwenu
ahsanteni
Hivyo wanajf naomba mnipokee ili nami nifaidi uhondo wa great thinkers kwa kuelimishwa,kukosolewa lakini pia nami kutoa mchango wangu ambao nao utasaidia.
Natanguliza shukrani kwenu
ahsanteni