Mguu Sawa ...nasubiri Majina ya Taifa Stars!

Mguu Sawa ...nasubiri Majina ya Taifa Stars!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Leo tumeambiwa Kocha wetu anatangaza mjina ya Wachezaji watatuongoza katika njia ya Kwenda Misri!
Kwa tabia ya Kocha wetu unaweza kushangaa kusikia amemuacha Boko ,na kumchukua Haruna Moshi Boban!😉😉
 
Kuna tetezi nimesikia eti Manula ameachwa nafasi yake kachukua beno Kakolanya.

#tunasubiri.
 
Haya hapa
Kik%C3%B5s.jpeg
 
Kuna tetezi nimesikia eti Manula ameachwa nafasi yake kachukua beno Kakolanya.

#tunasubiri.
Kachaguliwa Kindoki na Kabwili.
Ujinga ni maradhi. Wanajazana upepo kwenye vikao vya kahawa wanatuletea uharo wao.Eti tetesi halafu mjinga mwingine ana like!!!!
 
Back
Top Bottom