Leo tumeambiwa Kocha wetu anatangaza mjina ya Wachezaji watatuongoza katika njia ya Kwenda Misri!
Kwa tabia ya Kocha wetu unaweza kushangaa kusikia amemuacha Boko ,na kumchukua Haruna Moshi Boban!😉😉
Kachaguliwa Kindoki na Kabwili.
Ujinga ni maradhi. Wanajazana upepo kwenye vikao vya kahawa wanatuletea uharo wao.Eti tetesi halafu mjinga mwingine ana like!!!!