mguu unachoma

magdarena

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
58
Reaction score
23
Habari ninatatizo lamguu wakulia kuna kipindi nasikia kama mtu ananichoma nasindano kuanzia chini mpaka ktk goti kisha inapotea. Hali hii yamda mrefu hua inatokea nakupotea.

Mguu unachoma kama kuna sindano. Hua inatokea kuanzia chini inapanda hadi ktk goti. Hali hii hua inatokea na kupotea.




Nini hii jamani? Naninintiba yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…