Mguu wa honey faith

mtumweusi

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
148
Reaction score
147
Wakuu nimechanganywa na mguu wa honey faidh ambae ni mdau humu jf nisaidie niweze kupata sura yake..
 
Weka picha mkuu wa huo mguu tuone kama ni mguu kweli uliokuchanganya
 
Honey Faith unaitwa huku na Mende msafi.
hahaha mkuu nimekwambia naogpa we ndo umeaua kumwita kabisa..! kuna kipindi kama miezi ya 8&9 tulikuwa tunapishana humu jf kwa karibu sana nikawa namwangalia nikajukuta nampenda tu....sijui kwa nini ila najitahidi kui'ignore' hii hali
 
Aah jirani lazima niwe mkali kidogo....

Na akijifanya kuja nyumbani bila adabu ntamsakizia bobby amng'ate[emoji6]

Happy 2017 to you....

Hahaa jirani acha ukali dadaako mwenyewe anafurahia.

Happy New Year to You Too.
Fireworks wapi..
 
Hahaa jirani acha ukali dadaako mwenyewe anafurahia.

Cool beans.

Happy New Year to You Too.
Fireworks wapi..

I think I'll just play it safe and stay at the crib.

Mambo ya kuwa innocent bystander getting caught up in the mix hapana kwa kweli.

Ma DUI huwa mengi mno aisee.

We vipi?
 
Unawezakuta mguu uko vizuri lakini sura kama anajiandaa kupiga chafya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…