Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.

Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!

Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi
 
Wenye picha zake plzzz

ImageUploadedByJamiiForums1405705168.550070.jpgImageUploadedByJamiiForums1405705199.576843.jpg
 
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh!Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia
Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza ni kwa njia na gharama yoyote maana mh anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi

Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!

Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh!Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia
Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza ni kwa njia na gharama yoyote maana mh anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi

Mkuu wewe kinachokuzuzua inaonekana ni RANGI! Kumbuka; kamwe usinunue nyumba kwa sababu ya RANGI yake.....
 
weupe tu..bt ni wa kawaida sana

Sio weupe tu kiongozi jaribu kumfanyia ukaguzi wa kina utagundua kitu
Na mara nyingi kukuta mwanasiasa wa kike mrembo kama huyu angela ni adimu sana
 
Back
Top Bottom