Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.

Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!

Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi
 


Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!

 

Mkuu wewe kinachokuzuzua inaonekana ni RANGI! Kumbuka; kamwe usinunue nyumba kwa sababu ya RANGI yake.....
 
Duh! Naona maradhi ya rangi yanamtesa mtu hapa......hakuna lolote la zaidi!
 
weupe tu..bt ni wa kawaida sana

Sio weupe tu kiongozi jaribu kumfanyia ukaguzi wa kina utagundua kitu
Na mara nyingi kukuta mwanasiasa wa kike mrembo kama huyu angela ni adimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…