Kwa nini unasema mwanamke hana dini?
Unatafuta kujiunga na bendi ya Papi Kocha Segerea wewe !!
Yupo mwingine anaitwa Ummy Mwalimu yule amethibitishwa na TFDA,ISO,TBS,SUMATRA,TCRA,TANROADS. Hana dosari ameumbika si mchezo. Kama hawa waheshimiwa wangekuwa wanapatikana mtaani kirahisi kama raia wengine ningemfuata nikampa hongera, pia alie muoa nae ningempa mkono wa pongezi kwa kujua kuchagua.
ha ha haa usiogope mueleze ukweli atakuelewa au nikupe namba yake
hivi kaolewa kweli au na yeye kipoozewa kama catheline magige
Kairuki yeye ni nani kwake?au ni jina bandia?
Ndio ameolewa na mtoto wa mzee hubert kairuki mmiliki wa hospital ya kairuki iliyopo mikocheni, nilisikia kuwa mumewe anafanya kazi ikulu amekaimu nafasi ya january makamba aliyoiacha kabla hajagombea ubunge.
ni kweli kabisa.na kuna siku nilikuwa naangalia bunge hili lililoisha mama yake alitambulishwa kama mmoja wa wageni(Mjumbe wa bodi au kamati flani siku ya bajeti ya wizara ya fedha) ,spika baada ya kumtaja Ester Mkwizu akaongeza na kusema huyu ndo mama mzazi wa naibu waziri wa katiba na sheria Mhe Angella Kairuki!Mimi namjua mama yake mzazi anaitwa Esther mkwizu ni non executive director wa B.O.T
Nakubaliana na wewe mkuu watu wanatishwa na rangi za Al Qaeda basi inakuwa basi ndiye mzuri zaidi kwa sura Angela mzuri lakini kwa ujumla Ummy Mwaimu ni mzuri ana combo zaidi kuliko Angela ila.kwa ambao huona rangi ya kigaidi ndo kila kitu basi watavutiwa na Angela ila wakumbuke miguu kama bomba la maji