Mh Anne Kilango Yupo?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
amepotea sana huyu mama yetu maarufu kwa ktema cheche bungeni, nilipita ile barabara inayokatiza kwenda jimboni kwake na baada ya kuiona bado ya vumbi nikamkumbuka sana, kwamba cheche zote zile hajaambulia walau kiwango cha changarawe
 
Ukweli ulio wazi wana siasa wetu wako kwa
sababu wao kipindi wanapopata nyadhifa
hujisahau sana na wananchi hata wanaposema

Daima hupuuzwa japo kweli Nchi hii kubwa
lakini kuna baadhi ya majimbo asilimia
kubwa ya watu wasiowahi kufika sehemu hizo

Huvuta hisia kuwa jimbo flani wana Mbunge
maarufu basi kule mambo yao ni kama
"Nchi ya Asali na MaziwA" lakini daima sivyo

Baadhi ya majimbo miaka mitano inakwisha
na hali ni mbaya yaani kama vile hakuna
mwakilishi kule Bungeni.
 
Ana frustration ya Le Mutuz...jitu lina miaka 55 linarudi kuwa kula kulala kwa baba, mama atakuwa na amani?
 
siku hizi kakichubua simpendi kaniboa anstufumdisha mm? sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…