Binafsi nashindwa kuelewa kama umepata nafasi ya kuwaongoza watu fulani na kwa bahati mbaya au kwa makusudi ukapatwa na kashfa inayohusu utendaji wako au matumizi yako ya ofisi waliyokuamini na kukupa madaraka ni busara sana kukaa pembeni.
Kuna mazuri ambayo ameyafanya kwa kipindi alichokaa madarakani na kuna mapungufu pia, kwa mf kwa kipindi chote alichokaa madarakani simba haijapata mafanikio yoyote zaidi ya kumfunga Yanga(kama atahesabu ni mazuri) tu.
Aliwaaminisha wanachama na washabiki kuwa Simba inawekeza ktk vijana ni kweli alithubutu kufanya hivyo lakini mwisho wa siku msimu hui aliamua kuingia sokon na kushindana kugombea wachezaji hasa ndani ya nchi, usajiri kama Manula, Boko na Kapombe umegharimu pesa nyingi na kiukweli na usajili mzuri ambao tunatarajia utaleta ushindani wa kweli ktk ligi msimu ujao.
Kama kiongozi unatakiwa kuwa na dira sasa yeye kama rais wa Simba dira yake ni ipi??kuamini ktk soka la vijana au kununua wachezaj wenye majina makubwa??hapa jibu.
Upande mwingine nawaza kuwa amefanya hivi kwa maana uchaguzi hauko mbali so anatupumbaza wapenzi wa simba kuamini kuwa sasa makombe yatakuja msimbazi.
Na hasa hyo ndio furaha yetu lakini swali je, toka ameingia madarakani alikuwa wapi??
Mwisho kabisa kwa kashfa hii sasa nadhani busara tu itumike, akae pembeni na kupisha watu wengine waendelee hao alipoishia.
N.B; Bado tuna changamoto kubwa ktk viongozi wetu sio ktk siasa sio Simba, Yanga wala Azam Kumejaa ubabaishaji mtu.
Nawasilisha