Mh!Hebu msikie huyu!!!!....!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Huyu jamaa anaitwa Paul,anaishi katika manispaa ya Moshi,ana uhusiano wa kimapenzi na Ex wife wa mjomba wake,anataka kumuoa anataka kujua kama atapata baraka za ndugu na jamii inayomzunguka,wewe je unampa baraka zako??Chanzo;Kiss FM!

Vitu vingine vipo wazi kabisa!
Wanawake wameisha kabisa mpaka akaoe x-wife wa mtu? Mbaya zaidi wa mjomba wake!

2 my side he have my blessings!!

kama huyo mjomba alimtaliki mkewe anahaki zote na baraka.anko c amechemka wacha mpwa ajilie vyombo

Little X hicho ni kimarekani au
Anaenda kuoa Ex wife wa mjomba ake
Mhhh wanawake wameisha au l

mkuu itabidi aje na mbuzi na pipa 12 za mbege..

Little X hicho ni kimarekani au

Anaenda kuoa Ex wife wa mjomba ake

Mhhh wanawake wameisha au l

Hawajaisha but where is the problem?

Why he want to do that. Kupita alikopita mjombaake. Na je huyo mjomba akija kwao atakuwa anawaangaliaje. Na je siku ya siku mjomba akataka kukumbushia maana love bana huwa haiishi kimoja itakuwaje

Huku ndio kuombeana talaka sasa...!!!!

Lizzy nini tena jamani. Si amesema uje utoe ufafanuzi nikajua mko pamoja hapo
Imekula kwake aje atoe ufafanuzi haraka

Lizzy nini tena jamani. Si amesema uje utoe ufafanuzi nikajua mko pamoja hapo
Imekula kwake aje atoe ufafanuzi haraka
Ufafanuzi wenyewe nnaotakiwa kuutoa sijajua bado!!!

Lizzy nini tena jamani. Si amesema uje utoe ufafanuzi nikajua mko pamoja hapo

Imekula kwake aje atoe ufafanuzi haraka

We Mr. Mwamba unasumbua.
Huyo jamaa imekula kwake,mwambie amPM blackberry mana Anatafuta bwana,aepukane na LAANA YA KUMTAKA EX WA ANKOLI YAKE

Angalia kwenye comment ya LittleX aliongea sijui lugha gani ndo nikauliza ni kimarekani au

Ohhh kumbe lugha....kiChagga kile!!!

Alafu kule nlikukuacha speechLESS bado tu hujapata cha kusema?!Kwa stranger...

Bado natafakari nikipata jibu nakuja fasta.
Owkey nimekuelewa na nimeelewa lugha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…