Why he want to do that. Kupita alikopita mjombaake. Na je huyo mjomba akija kwao atakuwa anawaangaliaje. Na je siku ya siku mjomba akataka kukumbushia maana love bana huwa haiishi kimoja itakuwaje

jaman tatizo ni kwamba kama mjomba alizaa na huyo mke then mpwawe nae akaoa akazaa nae tena hv hao watoto wa pande zote mbili wataitanaje?

Inategemea huo ukoo undugu kwao wana uchukulia vipi. Japo kuna dini zinaruhusu watoto wa ba mdogo na ba mkubwa kuoana lakin bado wengine kwetu ni jambo gumu kwa maana ya kwamba wazazi wametoka tumbo moja la mama mmoja hvyo hata uzao wao utakua ni damu moja.

Ila cjui wengine mna mtazamo gani!

Hawakuzaa na mjomba!

Corrections....!!!!He, she, it, has......... Let him take her nawaoane as long as they LUV each other,88 njema

Huyu jamaa anaitwa Paul,anaishi katika manispaa ya Moshi,ana uhusiano wa kimapenzi na Ex wife wa mjomba wake,anataka kumuoa anataka kujua kama atapata baraka za ndugu na jamii inayomzunguka,wewe je unampa baraka zako??Chanzo;Kiss FM!