Mh..hii sasa inanihusu

Mh..hii sasa inanihusu

Sikununu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
341
Reaction score
100
Baada ya kujifanya mie kidume mtaani na kupiga baadhi ya mademu waliokuwa wananiletea shobo sasa naona bwimbwi linanishinda

Nilihamua kuachana na vishankupe hao baada ya my wife kugundua na kunifinya sana niache hiyo tabia maana walikuwa wameshaanza kumpiga vijembe kila wanapokutana bombani au gengeni..nampenda sana my wife mara nyingi namtania kwa jina la utani mama havintishi

Huku uswahilini tulishazoea vijembe vya hapa na pale hususani wakina Dada wanapokuwa wamekaa vibarazani au nje kwenye mkeka na kuanza kuropoka huku midomo wameibenua na vidole juu..tokea enzi za eeh eehh haloo ikaja eeehh eeehh utajiju mpaka eehh eehh ndio basii tena..mie miaka yote nawaenjoy tu

Sasa kumbe mwaka huu wangu maana wale wadada na vishankupe niliopiga baada ya kuona nimewachunia si ndio wameunda kama muungano wakaanza vijembe kila ninapopita na wife mpaka najistukia na wife anakasirika sana maana utaskiaa "eeehhh eeehhh jipu hilo" wengine wanajibu "eeehh litumbuliwe" mpaka nikawa najiuliza au ichi kitambi nilichokuwa nacho ndio jipu lenyewe

Yaani hapa nilipo natafuta chumba nihame uku uswahilini..duh
Naombeni ushauri
 
Ama tuuu,,,kabla hujaitwa vikaoni au kuekewa kigodoro
 
Tukushauri nini? Uwezo wako ni kutafuta chumba, tafuta hicho chumba. mkipata maradhi yasiyo na tiba utatuomba ushauri zaidi.
 
ushauri wangu;

piga punyeto ujinga ukutoke.. aya weee aya weee
 
Baada ya kujifanya mie kidume mtaani na kupiga baadhi ya mademu waliokuwa wananiletea shobo sasa naona bwimbwi linanishinda

Nilihamua kuachana na vishankupe hao baada ya my wife kugundua na kunifinya sana niache hiyo tabia maana walikuwa wameshaanza kumpiga vijembe kila wanapokutana bombani au gengeni..nampenda sana my wife mara nyingi namtania kwa jina la utani mama havintishi

Huku uswahilini tulishazoea vijembe vya hapa na pale hususani wakina Dada wanapokuwa wamekaa vibarazani au nje kwenye mkeka na kuanza kuropoka huku midomo wameibenua na vidole juu..tokea enzi za eeh eehh haloo ikaja eeehh eeehh utajiju mpaka eehh eehh ndio basii tena..mie miaka yote nawaenjoy tu

Sasa kumbe mwaka huu wangu maana wale wadada na vishankupe niliopiga baada ya kuona nimewachunia si ndio wameunda kama muungano wakaanza vijembe kila ninapopita na wife mpaka najistukia na wife anakasirika sana maana utaskiaa "eeehhh eeehhh jipu hilo" wengine wanajibu "eeehh litumbuliwe" mpaka nikawa najiuliza au ichi kitambi nilichokuwa nacho ndio jipu lenyewe

Yaani hapa nilipo natafuta chumba nihame uku uswahilini..duh
Naombeni ushauri
Mkuu kama nawaona sasa dawa yao uwe unawagonga wawili wawili.
 
Back
Top Bottom