nimependa video yake ni mzuri sana, ila bado sijajua hii ni tv show au series na iko kwa upande up zaidi yaani sports, fashion, drama, comed, au ni nini? nimeona youtube na imeandikwa kuwa inaonyeshwa EATV TANZANIA , ndugu zangu mlioko tz na mnafatilia iki kipindi naomba mnijuze