Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

kweli Jamiiforums ni nyumba ya ukweli , nilikua mmoja wa waliohitaji ushahidi kipindi hii post inaruka, nilimtaka mtoa mada aje aseme nasi nini anajua kuhusu janga la huyu mwanasiasa mpotofu na mwenye kiu ya damu !
ukweli utakuweka huru na ukweli hujisimamia, leo yameanikwa kwa gharama za maisha ya vijana wa taifa letu .
 



Dah,
CV yake iko fresh sana,
Jamaa yuko smart sana,
Kweli wasomi tunao taifa hili...
 
Ishakuwa taabu haya tusubiri na Masogange naye labda atataja wengine au atatuandikia barua wa Tanzania kujua yanayojiri alianzaje na maana twategemea ataelezea alihama vipi toka Magomeni kwenda Sinza
 
Uwiiiiiiiiii..!!! Mbona MAJANGA yaani jamaa ni darasa la 7 mwenye maendeleo zaidi ya Profesa.!!!?
 

mkuu kwan tangu thread ime anzishwa umewaona pro ccm humu hata mmoja??wao utawaona kwenye thread zao za kuwatukana makamanda tu,kama wanaujasir waje hapa.
 
Thread ina page 14 lakini walau aliyejaribu kujibu swali ni mmoja tu.
 
Ni mweupe ati?
Zungu ni karadi wa Kijerumani na Mswahili........

Ilipoanzia thread hii ilipuuzwa, miaka mitatu baadaye ukweli unaanza kujurikana, hata huyu dogo Ridhiwani naye ni swala la muda tu ngoja mshuwa atoke pale Magogoni mtaniambia, hii post itagongewa like nyingi sana miaka si mingi ijayo.
 
Drugs dealer! Alikuwemo kwenye list ya Amina Chifupa (RIP)
Moderator mfungulieni Masanilo kama mlimfungia kwa post hii...maana viashiria vya huyu jamaa kushiriki uharibifu wa kizazi chetu upo.
 
kazi yake inajulikana siasa tu kwani we unafikiri kuna kazi gani nyingine nje ya siasa?
 
"Game Theory, post: 833546, member: 275"]Apart from Rostam nadhani the second richest mbunge Tanzania ni NDESAMBURO

Iddi Azan ana pesa za kubadilisha magari na maybe kusafiria Business Class and errm thats it
NDESAMBURO awezi kushika nafasi iyo apa Tanzania. Kuna watu zaidi ya 100 wanaomzidi pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…