Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 609
Kumbe ni Kikwete pekee ambaye amengangania USHINDI NI LAZIMA. Kumbe JK angeungana na wenzie, basi uungwana huu ungeweza kujenga imani kubwa kwa wananchi badala ya hofu iliyojijenga sasa ambayo JWTZ wameanza kuinusa na kuienzi.
JK tunamhitaji ajitokeze naye kusema kama yupo tayari kuyakubali matokeo ya aina yoyote ile yatakayokuja hata kama Dr. Slaa atakuwa amemsarambatisha vilivyo:-
JK atapigwa na nani? salma au RA?
Jamani mbona mnanionea??? najua nishashindwa, mnataka nitangaze hadharani kabla ya uchaguzi?? itakuwa aibu kwangu, subirini nitakubali matokeo ambayo tayari najua kuwa nimechemsha, niliokula nao siwaoni wameniacha pekee yangu na familia yangu ambayo sidhani kama ni itasadia yote ni maisha, jamani mtandao mnaniaacha hivi hivi?????????? tulikula pamoja, tulifurahi pamoja, hapa mnaniachaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mafisadi hamuaminiki, RA, EL mko wapi???????????????