Mh! Jamani hivi wote wako hivi au huyu wangu tu???!!!

akishaanza hizo habari tu nakuwa off, hanioni tena. dizaini ya wanawake kama hao hata ukimwambia subiri kwanza mambo si mazuri hakuelewi. kwangu mimi hata tusingefika miezi sita. raha ya kuhonga utoe mwenyewe willingly kwa moyo mkunjufu, toa kama unavyotoa sadaka kanisani, si kuomba. subiri nikupe mwenyewe sio uniombe, tena unakuta anaomba kama deni, utafikiri anakudai

Jaribu kumu elewesha zaidi usichoke, mueleze umuhimu wa kujiandaa ki akili kwenye sex na concentration katika shuguli. Pia inaonyesha ana mtazamo potofu kuhusu sex anaitumia kama silaha kupata anachotaka, itakua rahisi sana kumpa mtu mzigo endapo anampa vitu so be care..

Huyo anaependa ela hivo. Lazima kuna wenzio wa kukusaidia. Pole. Afu naona kama ni unusual 28 years anakuwa omba omba. Mi nilidhani ni tabia za madenti. Huyo lazima adode.

Wengi wapo kimasilai kwa kutimiza lengo na kuona ufahari. By Top c

Achana naye kabisa huyo kama ulikuwa na nia ya kumfanya mke mtarajiwa,lakini kama unapiga tu mpini then usepe,lipa ankara maana hapo ni biashara.

tehete angalia kwenye simu yake kaku save vipi! waweza kuta kakusave ATM

Huyu amekaa kiuchumi zaidi na anatumia vizuri kitegauchumi chake!

lts true, kwake hiyo ni business transaction ati!

"ukitaka kula nawe uwe tayari kuliwa kidogo sasa we unataka kula tu bila kuliwa!"teh teh teh......

Kwa kifupi ni kwamba unapoteza muda wako bure kwa huyu malaya wako unayemuita mpenzi wake! Huyo yuko kimaslahi zaidi na si vinginevyo! La sivyo endelea kuwa ATM.

Kwa kifupi ni kwamba unapoteza muda wako bure kwa huyu malaya wako unayemuita mpenzi wake! Huyo yuko kimaslahi zaidi na si vinginevyo! La sivyo endelea kuwa ATM.

huyu mtoa mada nae yupo kisex zaidi. Ngoma droo.
Anunue hiyo simu na ahadi zote atimize, kama hana uwezo asipende kuahidi.

Hivi Gold Digger maana yakekwa kiswahili ni nini vile?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…