Mh jamani tamisemi lini watatangaza ajira?

Mh jamani tamisemi lini watatangaza ajira?

Jamani nauliza tu Kwa mwenye fununu kuhusu ajira *note Kwa motivation speakers na wenye akili nyingi jibuni swali msianze mambo ya mara ujiajiri mara acha uvivu
Ajira inatangazwa mwez wa nane then walimu wataripoti mashuleni mwzi wa tisa .
 
Hata ikatokea wakatangaza! Unafikiri utakuwa ni miongoni mwa hao watakaopata?

Ajira zilikuwa zamani bhana. Mhitimu unaamua mwenyewe uajiriwe serikalini, au taasisi binafsi. Siyo siku hizi wasomi wametapakaa kila kona mtaani, huku wengi wao wakiwa hawana shughuli ya kufanya.
 
Back
Top Bottom