Ajira inatangazwa mwez wa nane then walimu wataripoti mashuleni mwzi wa tisa .Jamani nauliza tu Kwa mwenye fununu kuhusu ajira *note Kwa motivation speakers na wenye akili nyingi jibuni swali msianze mambo ya mara ujiajiri mara acha uvivu
AsanteAjira inatangazwa mwez wa nane then walimu wataripoti mashuleni mwzi wa tisa .
Ya kwel hayo?Wiki ijayo