Mh. JK, baada ya EPA, Je na hili la TAKOPA halikuhusu?


Mkuu Pengo taratibu tutafika hivi Mkapa hakuwa rais mbona alifanya biashara na amekiri mwenyewe kwani ni ajabu gani tukisikia JK naye yumo how clean is he na biashara siku hizi si lazima mwenyewe ubebe pesa mkononi unaweza kufanya biashara kwa influence uliyonayo

ni kweli 82bil zililipwa zote kwa awamu mbili Feb.1 2009 na July 16,2009 nyingi zimetafunwa na wajanja wa mjini wakorea wanataka kujitoa kwa ubabaishaji wa huyo ndugu yake mkulu na wenzake hatuwezi kuwatofautisha kama tusivyomtofautisha Kingunge na watoto wake waliokuwa wanatafuna kodi za Ubungo bus terminal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…